bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,630
- 790
Wewe endelea kuota tunyinyi hamjaelewa, iko hivi samia haupendi muungano lakini ameapa kuulinda kikatiba sasa anachokifanya ni kuwakera makusudi watanganyika ili wapate hasira wavunje muungano au watake serikali tatu. Sasa kama watanganyika wanaona mbali huu ndo muda sahihi wakupigania serikali moja na zanzibar ibaki kama wilaya ya bagamoyo ndani ya jamhuri ya muungano