Ni kwanini Maelite ndio Wanaompinga Lowasa?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Kwa hali ya kawaida kama ni kweli Bw.Lowasa ni mbaya hivyo na hana sifa za kuongoza TanZania basi kulikuwa hakuna haja yoyote ile ya kutumia nguvu kumponda, kumdhihaki na kumshusha chini namna hiyo kila siku, kwa hali ya kawaida angekataliwa tu na wananchi moja kwa moja, sasa ni kwanini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga?
Kama ni kweli hayo mnayoyasema basi hata Wananchi wangeandamana kumpinga lakini kwangu mimi wanaompinga ni maelite tu na wala SIYO walala hoi sasa ni kwanini?

Ni kwanini kitu kibaya kionekane na maelite tu? Ni kwanini watu wanatoka mishipa kutaka kutuaminisha kwamba Lowasa hafai? Ni kwanini wasiache tuamue wenyewe? Na kama kuna anayefaa mbona hatumuoni? Mbona sijaona Mtu yoyote yule akienda kutangaza nia na kujaza watu masikini kama Lowasa?

Hii yote inaniambia ya kwamba kuna kitu hapa, kama ilivyo kawaida ya maelite wanataka kutuletea elite mwenzao asiyejua matatizo ya mwananchi wa kawaida, mimi nasema msitumie nguvu kumpinga Lowasa waachieni wananchi waamue!

Maana ya neno elite (kutoka wikipedia);

,,In political and sociological theory, an elite is a small group of people who control a disproportionate amount of wealth or political power. In general, elite means the more powerful group of people. The selected part of a group that is superior to the rest in terms of ability or qualities or has more privilege than the rest"
 
Sasa kama anadanganya watu wasio na uwezo tukae kimya?
 
Lazima tuwasaidie wapiga kura na watoa maamuzi wasijewakafanya makosa.

Kwa hali ya kawaida kama ni kweli Bw.Lowasa ni mbaya hivyo na hana sifa za kuongoza TanZania basi kulikuwa hakuna haja yoyote ile ya kutumia nguvu kumponda, kumdhihaki na kumshusha chini namna hiyo kila siku, kwa hali ya kawaida angekataliwa tu na wananchi moja kwa moja, sasa ni kwanini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga?
Kama ni kweli hayo mnayoyasema basi hata Wananchi wangeandamana kumpinga lakini kwangu mimi wanaompinga ni maelite tu na wala SIYO walala hoi sasa ni kwanini?

Ni kwanini kitu kibaya kionekane na maelite tu? Ni kwanini watu wanatoka mishipa kutaka kutuaminisha kwamba Lowasa hafai? Ni kwanini wasiache tuamue wenyewe? Na kama kuna anayefaa mbona hatumuoni? Mbona sijaona Mtu yoyote yule akienda kutangaza nia na kujaza watu masikini kama Lowasa?

Hii yote inaniambia ya kwamba kuna kitu hapa, kama ilivyo kawaida ya maelite wanataka kutuletea elite mwenzao asiyejua matatizo ya mwananchi wa kawaida, mimi nasema msitumie nguvu kumpinga Lowasa waachieni wananchi waamue!
 
Lowasa hafai......na kama CCM itampitisha kugombea basi wananchi watamkataa kwenye sanduku la kura.
 
Huyu mleta mada mbona majibu anayo tayari kwani wewe unatoka kijiji gani ili usaidiwe.
 
Mimi mwananchi wa kawaida kabisa, lakini huyo Lowassa hapana kwa kweli. Wengine kumbukumbu zetu ndefu 2007 ni kama juzi tu , kama alijua kwa kuuchuna miaka 8 tutasahau amaeula wa chuya.

Huyu hafai kuwepo Ikulu, ni mchafu, Kwenye kutangaza nia alikuwa ananafasi ya kutuonesha ni kipi anapanga kufanya kipya, hata vision hana, yeye kakalia slogani tuuu, hajui slogan ziliexpaya mwaka 2005 mara baada ya slogani zao za maaisha bora kwa kila mtanzania kugeuka kitendawili.

Hafai.
 
Kwa hali ya kawaida kama ni kweli Bw.Lowasa ni mbaya hivyo na hana sifa za kuongoza TanZania basi kulikuwa hakuna haja yoyote ile ya kutumia nguvu kumponda, kumdhihaki na kumshusha chini namna hiyo kila siku, kwa hali ya kawaida angekataliwa tu na wananchi moja kwa moja, sasa ni kwanini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga?
Kama ni kweli hayo mnayoyasema basi hata Wananchi wangeandamana kumpinga lakini kwangu mimi wanaompinga ni maelite tu na wala SIYO walala hoi sasa ni kwanini?

Ni kwanini kitu kibaya kionekane na maelite tu? Ni kwanini watu wanatoka mishipa kutaka kutuaminisha kwamba Lowasa hafai? Ni kwanini wasiache tuamue wenyewe? Na kama kuna anayefaa mbona hatumuoni? Mbona sijaona Mtu yoyote yule akienda kutangaza nia na kujaza watu masikini kama Lowasa?

Hii yote inaniambia ya kwamba kuna kitu hapa, kama ilivyo kawaida ya maelite wanataka kutuletea elite mwenzao asiyejua matatizo ya mwananchi wa kawaida, mimi nasema msitumie nguvu kumpinga Lowasa waachieni wananchi waamue!

nimekuelewa wachache wanaweza kukuelewa but kuna kitu nyuma ya pazia ndio ivyo ilivyo usijali tupo pamoja
 
Mtanzania mwema ni yule anayekemea na atakayemkemea mla-rushwa hadharani(J.K.Nyerere)
 
Kama unampenda mwambie aeleze alihusika vp kwenye Richmond!! tunataka ukweli tu hapa.
 
ni kwa sababu elite wana vision na wanajua nini kitatokea baada yakumuweka mamvi ikulu. walala hoi wao.wapo kama.mkulima.anayetegemea mvua kuvuna hawezi kujua atachopata mpaka msimu uishe, in short they believe on natura course
 
Kiongozi tutakayemchagua ni yule atakayeichukia RUSHWA,chuki hyo itoke ndani ya moyo na sio mdomoni!-MWL.J.K NYERERE
 
Walala hoi wengi wanasubiri kuelekezwa na watu wanaowaamini sasa Lowassa katajwa sana ndio maana wanaonekana kumuunga mkono. Ila kwa namna upepo unavyobadilika kwa kasi watamhama wote.. kipindi hiki watu wanamsema vibaya mzee wa maamuzi magumu
 
Hutasikia wanalaumu wakulima zaidi ya wasomi wetu kwa kuacha nchi iliwe. Ndo maana wanatahadhalisha
 
Kwasasababu unamuunga mkono kwa maelezo yako basi hata wewe umeshajitoa kwenye kundi la elite. Subiri siku ukiwa elite ndo utajua kwanini wanampinga.
 
Back
Top Bottom