ni kwanini inakuwaga hivi?

ni kwanini inakuwaga hivi?

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Posts
3,664
Reaction score
4,274
salam kwenu watu wa jamvi,

nienda kwenye mada moja kwa moja, najiuliza ni kwanini kunakuwaga na wivu mkali, visasi, uadui na chuki inapotokea kwamba kwamba kuna mtu ameingilia mahusiano yako?

kinachoshangaza zaidi, unaweza ukawa upo na kinywaji, chakula au fedha na ukaweza kutumia kwa kushirikiana na rafiki au mwenzako ila inapokuja swala la penzi unageuka mbogo? Kwanin mapenzi hata ya whki moja yanaweza kuharibu undugu na urafiki uliodumu kwa miaka tele?

kwanin mapenz tunayapa kipaumbele sana? Tunakuwa tayar kupambana na kuhatarisha maisha yetu kisa kugombania penzi! Ni kwanin wanajamvi?
 
Muraaa sasa kama unataka kura mari yangu burebure kwaninj nisikubhangue na kukucharanga mapanga....

'Cha mtu sumu bhoti'...
 
Muraaa sasa kama unataka kura mari yangu burebure kwaninj nisikubhangue na kukucharanga mapanga....

'Cha mtu sumu bhoti'...

cha mtu vima.

=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
^^
Ni kwa sababu kupenda kwa dhati ni sawa na kuishi mwili mmoja..hivyo kuibiwa ni sawa na kuondolewa sehemu ya viungo vya mwili wako.
^^
 
Muraaa sasa kama unataka kura mari yangu burebure kwaninj nisikubhangue na kukucharanga mapanga....

'Cha mtu sumu bhoti'...

hahaha, si kwamba nataka kula mali ya mtu,hapana..cha mtu sumu..huu usemo unatumika kwenye mapenzi zaid kwa nin? Kinywaji waweza ku share hata chakula! Ila ukiskia tu mtu kamega tunda hapo ndo kasheshe inaanza!
 
salam kwenu watu wa jamvi,

nienda kwenye mada moja kwa moja, najiuliza ni kwanini kunakuwaga na wivu mkali, visasi, uadui na chuki inapotokea kwamba kwamba kuna mtu ameingilia mahusiano yako?

kinachoshangaza zaidi, unaweza ukawa upo na kinywaji, chakula au fedha na ukaweza kutumia kwa kushirikiana na rafiki au mwenzako ila inapokuja swala la penzi unageuka mbogo? Kwanin mapenzi hata ya whki moja yanaweza kuharibu undugu na urafiki uliodumu kwa miaka tele?

kwanin mapenz tunayapa kipaumbele sana? Tunakuwa tayar kupambana na kuhatarisha maisha yetu kisa kugombania penzi! Ni kwanin wanajamvi?

Kuna vitu vingi vya kushare, lakini siyo mapenzi!
Mapenzi yanajenga uhusiano wa tofauti unaohusisha nafsi, mwili mpaka moyo. Mapenzi huzalisha ndugu tunaowaita wifi, shemeji, wajomba, ma mkubwa, shangazi nk. Huwezi kuyafananisha mahusiano haya, na uhusiano mwingine wa aina yoyote ile. Kiimani, kiutamaduni na hata kiutaratibu, hakuna kushare mapenzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom