anhaaa, joto tunalosikia hapa duniani linatoka ardhini....Ni kwa sababu joto tunalolihisi ni matokeo ya absorption ya miale ya jua kwa ardhi ikishapata joto ndio unaanza kulihisi. Jinsi unavyopanda juu unasogea mbali na ardhi hivyo joto nalo hupungua. Ila kwa tofauti ya umbali wa dunia na jua ambayo ni zaidi ya 9M kilometers, kuelekea juu let's say unapanda Mlima Kilimanjaro ni kama hujafanya chochote kulikaribia jua.
Naomba kuelewa unajimu huu...
Ni kwa nini angani ni kwa baridi sana ilhali kila unapopanda juu ndio unavyozidi kulisogelea jua ?
Jana maafisa wa usalama wa anga wa Uholanzi wamesema wameshindwa kumuelewa Mkenya aliye survive baridi la kufa mtu angani akiwa kwenye kijumba cha tairi la ndege kutoka Johannesburg au Nairobi (hawana uhakika) hadi Amsterdam.
Vipi kama pipa lilisafiri mchana njia nzima ambako jua linapiga muda wote, which means, alikuwa katikati ya jua na sayari hii muda wote, sielewi! Nairobi mpaka Amsterdam ni saa masaa 7 tu, wakati mchana kwa maana ya daylight, mawio mpaka machweo, ni masaa 12! Mchizi alikuwa na masaa mengine matano ya ku survive chini ya jua! Au ?
Sunburn inakua kubwa unavyopanda juu zaidi, mfano kama ukipanda Kilimanjaro pasi na kua na Suncream kuna uwezekano wa kubabuka ngozi sababu ya jua.anhaaa, joto tunalosikia hapa duniani linatoka ardhini....
sasa kwa nini tunaungua na jua kutoka juu, na tunavaa kofia kichwani kuzuia jua la utosi ?
Uzito wa chuma sidhani kama unahusiana na upitishaji wa jotoHata chuma, kizito kinapitisha joto zaidi ya kilaini..same reason
Uzito wa chuma sidhani kama unahusiana na upitishaji wa joto
View attachment 2117448
Hakuna uzito hapo!
Twanga maswali vijana na wajibu kwa logic[emoji3][emoji3]anhaaa, joto tunalosikia hapa duniani linatoka ardhini....
sasa kwa nini tunaungua na jua kutoka juu, na tunavaa kofia kichwani kuzuia jua la utosi ?
Mtu nimekuelimisha.. halafu unajifanya unajua sana..Uzito wa chuma sidhani kama unahusiana na upitishaji wa joto
View attachment 2117448
Hakuna uzito hapo!
Uzito wa chuma sidhani kama unahusiana na upitishaji wa joto
View attachment 2117448
Hakuna uzito hapo!
Nadhani alikuwa na maana ya density na sio (uzito) mass.
Uko sahihi.. na sababu ni hio hio niliyotoa mwanzo kuhusiana na baridi kuongezeka unavyopanda juu zaidi angani. Unavyopanda juu zaidi angani, kiasi cha hewa kwenye anga zinapungua. Hewa hizo zisaidia kuzuia mionzi ya jua.. manake hewa zikiwa nyingi zaidi, na anga linakuwa zito zaidi na linazuia makali ya jua. Lakini unavyopanda zaidi, kiasi cha hewa kinapungua, na vilevile protection dhidi ya makali ya jua yanapungua, na ndio mtu anapata sunburn kwa urahisi zaidi.Sunburn inakua kubwa unavyopanda juu zaidi, mfano kama ukipanda Kilimanjaro pasi na kua na Suncream kuna uwezekano wa kubabuka ngozi sababu ya jua.
Right, (in a plane) at high altitudes, outside temperature is very low (negatives C)The higher you go the cooler it becomes
Ulisoma mambo ya kontua shule za msingi?Naomba kuelewa unajimu huu...
Ni kwa nini angani ni kwa baridi sana ilhali kila unapopanda juu ndio unavyozidi kulisogelea jua ?
Jana maafisa wa usalama wa anga wa Uholanzi wamesema wameshindwa kumuelewa Mkenya aliye survive baridi la kufa mtu angani akiwa kwenye kijumba cha tairi la ndege kutoka Johannesburg au Nairobi (hawana uhakika) hadi Amsterdam.
Vipi kama pipa lilisafiri mchana njia nzima ambako jua linapiga muda wote, which means, alikuwa katikati ya jua na sayari hii muda wote, sielewi! Nairobi mpaka Amsterdam ni saa masaa 7 tu, wakati mchana kwa maana ya daylight, mawio mpaka machweo, ni masaa 12! Mchizi alikuwa na masaa mengine matano ya ku survive chini ya jua! Au ?
Hata density hakuna kwenye kanuni za conductivity ya chumaNadhani alikuwa na maana ya density na sio (uzito) mass.
Duuuuh, sasa unalinganisha chuma na mbao!Mtu nimekuelimisha.. halafu unajifanya unajua sana..View attachment 2117587