Hili ni tatizo kwa wanaotumia tapatalk kwenye windows phone. Tangu tarehe 17 may hakuna notification zaidi ya private messages. Kwenye android naona inafanya vizuri.
Huu uzi nilishauleta hapa nadhani wengi mlikuwa hamjashtukia.

Mkuu mbona me situmii hiyo tapatalk tatumia android huawei y530 app ya jf lakini bado, notification zinaonesha zinaingia ila nikiingia kwenye notification panel hazijiupdate yani since 17th may mkuu
bora wewe kunaufadhali ... mi naona app inaweza ikawa inaload kitu ikakwama yani hapo ndio mpaka nifungue app upya. pm nasoma ila mpaka niifungue daa ntasubir sana.