jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 625
Miaka 4 iliyopita matangazo ya IT services kama blogs, website, database, payroll system, hosting, software and hardware maintenance yalikua on fire kweli kweli so what happened now days?
Kwa navyofahamu huku tuendako kila kitu kitakua digitally almost kila system itakua software controlled! Manual work itapotea robots na automation ndio mpango mzima.
Kuna haja ya watanzania kupeana mashavu eitha ndani au nje ya nchi kwa sababu tukikaa kimpa vyeti na elimu yetu kichwani tutakuwa tunaikumbatia kichwani kitua ambacho ni kibaya sana. "Matumizi mabaya ya rasilimali"
Basi kwa wenye kuzitambua fursa tujuzeni tuzitumie.