Ni kwa sababu ya siasa tu

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
8,596
Reaction score
5,584
MAGAZETI YAMEANZA KUFILISIKA:


  • MAJIRA kama mnakumbuka walikuwa na domain yao, inasemekana walishindwa kuilipia ikazuiwa na sasa inauzwa kwa mwenye pesa yake, hapo nimewapa hint ndogo (usiulize juu ya mashaka ya mishahara n.k)

    Raia Mwema
kuna na yale mengine yanaendea kwenye ruzuku maalum la sivyo nayo yako taabani :angry:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…