knowledge quench
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 227
- 107
NO!!! USIFANYE HIVYO, BALI KAA NAYE MSHAURIANE, USITAKE KUMCONTROL KAMA VILE HANA AKILI YA MAAMUZI.Nina mwanamke wangu. Ni mke mdogo. Nimezaa nae watoto wawili. Tunashirikiana kwenye biashara na kwa kweli ana juhudi. Tatixo lake ni moja tu. Ana mdomo wa shombo.kila kizuri ninachomfanyia yeye anaona hakitoshi. Na kila mara tumepishana kauli.Nimemuonya sana achunge mdomo wake lakini kila saa anarudia. Tatizo lake kubwa anataka kukaa juu ys mimi. Sasa nataka kujaribu kumpiga. Je itasaidia?
KAMA ANAFANYA KILA KITU INAMAANA ANAWEZA KUJITEGEMEA!!
KWA HIYO KAKA, USHAURI WANGU NI :
UNAPOTAKA KUFANYA JAMBO LINALO WA HUSU WOTE, NI VYEMA KUSHAURIANA NA KUMUELEZA MWENZIO KWANINI UNAVYO SEMA WEWE NI BORA. NA KADHALIKA..
KUMBUKA ASALI HUMTOA HATA NYOKA PANGONI!!
NYAMA ZA ULIMI HUMPA FARAJA MWANAMKE.