Ni kwa nini hali kama hii inatokea?

Ni kwa nini hali kama hii inatokea?

jakamot

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
51
Reaction score
4
Naanza kwa kuwatakia jumapili njema,na kwa wale ndugu zetu waislam nawatakia mfungo mwema! Kuna mada ambayo naomba leo mnisaidie: wasichana wengi wa kitanzania siku hizi hawana mapenzi ya kweli wanachozingatia ni kiwango cha pesa ulichonacho, wanauza penzi kama bidhaa zingine! Kinachonisumbua ni kwamba kwani kipindi cha nyuma matajiri na mafukara hawakuepo? Na kama walikuepo kwa nini walikuwa na mapenzi ya dhati kuliko kizazi hiki cha digitali? Mnisaidie michango yenu wanajamii
 
^^
Ndio maana ya wakati kubadilika,,kila nyakati na maua yake
^^
 
baadhi ya nyie mnatabia ya "hit and run" so gal anaona asitumike peke yake anaamua na yy akutumie, iwe draw, so msilalamike sana
 
Eat and run hata enzi zetu ilikuepo so sidhani ni sabbu ya kutosha
 
Kwa hiyo unafikiri watu wameanza kuchunwa juzi juzi au sio

Hahahaaaaaaa! Ujue vijana wa zamani hawakuwa wanaendekeza vya bure so kwao haikuwa Big issue. Kwanza ilikuwa mtu akimkubalia bure bure anapata shaka huenda kaungua na HIV! Mamba yalikuwa akihonga ndo anaona naaaaam sasa ndo nimepata!!

Ila hawa .com mmmmmmmmmmh! Ngoja nijinyamazie mie! Ndo maana Babu IPP kakipata kile Kisu cha haja ilhali kijana wa zamani mwana wa yule socialist aliebakia kilimshinda meintenance!
 
Lakini mi naona c wadada tu! hata wakaka sikuhizi wamekuwa mmmh!! wachunaji wazuri, mara baby sina vocha, mara hiki wengine hata pesa wanaomba live...(With experience and evidence).
 
Naanza kwa kuwatakia jumapili njema,na kwa wale ndugu zetu waislam nawatakia mfungo mwema! Kuna mada ambayo naomba leo mnisaidie: wasichana wengi wa kitanzania siku hizi hawana mapenzi ya kweli wanachozingatia ni kiwango cha pesa ulichonacho, wanauza penzi kama bidhaa zingine! Kinachonisumbua ni kwamba kwani kipindi cha nyuma matajiri na mafukara hawakuepo? Na kama walikuepo kwa nini walikuwa na mapenzi ya dhati kuliko kizazi hiki cha digitali? Mnisaidie michango yenu wanajamii

Mmomonyoko wa maadili uliochangiwa na utandawazi na tamaduni za nje, ugumu wa maisha na watu kukosa hofu ya Mungu kwa sehemu kubwa kumechangia hali iliyopo sasa.
 
Hahahaaaaaaa! Ujue vijana wa zamani hawakuwa wanaendekeza vya bure so kwao haikuwa Big issue. Kwanza ilikuwa mtu akimkubalia bure bure anapata shaka huenda kaungua na HIV! Mamba yalikuwa akihonga ndo anaona naaaaam sasa ndo nimepata!!

Ila hawa .com mmmmmmmmmmh! Ngoja nijinyamazie mie! Ndo maana Babu IPP kakipata kile Kisu cha haja ilhali kijana wa zamani mwana wa yule socialist aliebakia kilimshinda meintenance!
Unamaanisha kinje??
 
Lakini mi naona c wadada tu! hata wakaka sikuhizi wamekuwa mmmh!! wachunaji wazuri, mara baby sina vocha, mara hiki wengine hata pesa wanaomba live...(With experience and evidence).

Duh! Hasira zako umekuja kuzimalizia huku?
 
Vijana wa zamani walikuwa wanajua thamani ya mwanamke na walihudumia pasipo kuombwa dunia ya leo vijana mnashinda jf mkitukanana hamjitumi kufanya kazi kwa bidii hamjui thamani ya mke mpaka aombe hapo ndipo msipotaka kusikia na kuleta yote haya kwa iyo ndugu yangu tafuta pess kwa bidii uishi kama mfalme hapa duniani acha ujanja ujanja na kushinda jf siku nzima matokeo yake hata ukiombwa hela ua pads huna ubebwejee? Mwanamke wako wewe pad anunue mwenzio majangaaa
 
baadhi ya nyie mnatabia ya "hit and run" so gal anaona asitumike peke yake anaamua na yy akutumie, iwe draw, so msilalamike sana

Msiangaike, kutafuta majibu. Jibu ni hilo hapo.
Mnapenda kuwamega wadada, na wao wamegundua cha maana ni KUCHUKUA CHAO MAPEMA.
Mbona mkiwa kwenye ndoa hamdaiwi hela?
 
Back
Top Bottom