Ni kuwaonea........

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF,

Sijui kama na nyie mlifikiria hli,

kuwaita watu maelfu kwenye usahili ambao watu 400 only ndio wanahitajika,ni uonevu,

tena wawalipe for travel and other expenses,

sijui ni mimi ndio sijaelewa,

tuna saa 12 tu in a Day,

swala la usahili kwa watu wote hao,

ni impossible,na halihitaji akili nyingi kujua.

wangeweza kuwanyia vetting,

kwa kuwapa more online exams,

then,wapate kama 500,

ndio wawafanyie usahili,kwa hizo nafasi 400!

huyo HR manager awe fired,kwanza kwa kutunga mtihani mgumu na second kwa kutojua how to get suitable employee out of all those people,

sijasoma lakini hili halihitaji degree,

muwalipe wote;for strain and expenses walizozipata.
 
Sijui ulitaka waende wangapi.....
Unajua ajira hazijawahi kuwaacha wasomi salama?
 
Bora hao walihitajika 400, kuna nshu inakuja ya MDA's na LGA's

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nilichokiona TRA nimeghairi kutuma maombi kwa hizo za LGA's najua litakuwa nyomi la hatari. Nauli tu kupata ni zali halafu watu tunaenda kupoteza muda tu, huku wao wakiwa tayari wamewaandaa wa kwao. Matokeo yake ni kupewa mitihani migumu ili mshindwe msepe...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
mkuu kwenye swala la mtihani mgumu hapana.
Labda kwenye hayo mengine hapo juu
 
mkuu kwenye swala la mtihani mgumu hapana.
Labda kwenye hayo mengine hapo juu

wakifeli wote,inakusaidia nini?? wangeweka vitu basics ila vingi...kuwapima kila angle,
 
Kijana hakukuwa na mtihani mgumu pale.
Ila ninakubaliana na wengi kuwa utaratibu haukuwa mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…