Ni wakati sasa wakopaji mkalilia kupata elimu ya mikopo ili mkaepuka malalamiko yasiyo na tija. Naiman haya malalamiko huja baada ya kukopa na kuishiwa kwa hiyo hela. Hapo ndipo sasa malalamiko huanza. Nimeifatilia hii taasis kwa karibu na kugundua kuwa wakopaji ndio wanashida.Hii taasisi ya kukopesha watumishi wa Uma Faidika au Letshego inakiuka kanuni na taratibu za utoaji mikopo mathalani kupandisha riba bila taarifa mpaka kupitiliza na hii wameanza mwezi wa 9...
Lakini kama haitoshi pindi unapotaka kufuta mkopo inakulazimu mpaka kuanza kutishiana maisha maana sio kwa usumbufu huo utakaopata...
Nauliza je hii taasisi yenyewe inajitungia Sheria zake ama Kuna mkubwa anayeilinda ifanye hivi?
Ni wakati sasa wakopaji mkalilia kupata elimu ya mikopo ili mkaepuka malalamiko yasiyo na tija. Naiman haya malalamiko huja baada ya kukopa na kuishiwa kwa hiyo hela. Hapo ndipo sasa malalamiko huanza. Nimeifatilia hii taasis kwa karibu na kugundua kuwa wakopaji ndio wanashida. Kwakuwa wanafika kwenye hizo tasisi nakufanya taratibu za mikopo bila kujua kwa kina.
Baada ya kusoma hii post ilinilazm kufika kwenye hayo matawi na kujifunza. Nilipofika nilitaka kulinganisha uwiano wa riba na bank nyingine. Nikauliza riba ya mwaka mmoja kwa milion moja. Nikapewa chati nikaangalia makato ni 106,600. Hiivyo mpaka namaliza mkopo ningeludisha 1,279,200. Hivyo riba ni 279, 200. Nikaringanisha na bank zngine ambazo wao wanazema 17% kwa mwaka maana yake mpaka unmaliza mkopo unatakiwa kulipa 1,170,0000. Sasa ukiwa mvivu wa kufikilisha kichwa lazma useme faidika riba zao ziko juu lakini kiuharisia nilichogundua faida riba zao kwa hapa sio kubw kuwazid hawa wenye %17 kwakuwa faidika unapewa milion cash na huku kwingine huwa wanakuwa na makato kwenye hela waliyo kukopesha hivyo unatakiwa uchukue hiyo hela uliyokatwa ujumlishe na hiyo riba 17% utaona hela wanayobakiwa nayo hizo mnazoita banki ni zaid ya hiyo ya faidika. Niwambie wakopaji hamna mkopo nafuu kama mfatiliaji ili mkopo nafuu umekopa unaenda kufanyia nn?
Watumishi wa Umma Tanzania ( Hususani Walimu ) wana akili ndogo sana.Watumishi wa umma huwa mnakimbilia kukopa bila hata kujua vigezo na masharti. Mikataba mingi ya mikopo imeandikwa kuwa riba inaweza kuongezwa wakati wowote bila taarifa.
Pili mkopo ni mkataba say wa miaka mitatu, unapoenda kufuta mkopo ina maana unavunja mkataba. Hivyo basi ni lazima utaratibu sahihi ufuatwe.
Acheni kukopa kopa hovyo!
Karibia taasisi nyingi zinazokopesha zinasumbua sana wateja ukitaka kuclear mkopo, Kuna mtu namfaham wanamzungusha toka mwaka Jana mwezi wa kumi. Nahisi hizi taasisi nyingi zinakuwa na vigogo ndio maana pamoja na malalamiko mengi ya waajiriwa lakini mkono mrefu wa serekali yetu pendwa inashindwa kuzichukulia hatua
nilitaka kujiingiza kichwa kichwa kwa Hawa wakuu, kumbe wanamaproblem mengi hivi
Kucheleweshewa pesa kwa muda unaoweza kufikia mwezi mmoja na nusuMatatizo yepi
Pole kwa hayoKucheleweshewa pesa kwa muda unaoweza kufikia mwezi mmoja na nusu
Kupandishiwa riba muda wowote
Kukatwa pesa baada ya kumaliza deni
Kusumbuliwa kwa mtu anayetaka kufuta deni
Bado sijakopa, nilikuwa nataka nikope ila Sasa nimeghairi kabisa kukopa kwasababu kila Uzi unaowahusu hao jamaa umejaa malalmiko ya kutosha.Pole kwa hayo
Lakini usiwalaumu sana sababu huo ni mkata na anayeuvunja anatakiwa kuwajibika. Wawajibishe
Bado sijakopa, nilikuwa nataka nikope ila Sasa nimeghairi kabisa kukopa kwasababu kila Uzi unaowahusu hao jamaa umejaa malalmiko ya kutosha.
Imagine Kuna watu wanasema walikopa million 4 wakarejesha million 15?
Ukiona taasisi iko hivo ujue haina futureHii taasisi ya kukopesha watumishi wa Uma Faidika au Letshego inakiuka kanuni na taratibu za utoaji mikopo mathalani kupandisha riba bila taarifa mpaka kupitiliza na hii wameanza mwezi wa 9...
Lakini kama haitoshi pindi unapotaka kufuta mkopo inakulazimu mpaka kuanza kutishiana maisha maana sio kwa usumbufu huo utakaopata...
Nauliza je hii taasisi yenyewe inajitungia Sheria zake ama Kuna mkubwa anayeilinda ifanye hivi?
Unamaanisha nini mkuu😅😅Ukiona taasisi iko hivo ujue haina future
Unamaanisha nini mkuu😅😅