Ni kumsifia Au kumdhalilisha

Ni kumsifia Au kumdhalilisha

Nampongeza uamuzi huo wa Huyo mwanamke kumchukulia Hatua huyo HR ili iwe funzo kwa wengine wenye tabia kama hizo, wengine wanasema angekaa kimya Nani ajuaye pengine ndio kazi angenyimwa kisa tu kagoma kutoa Uroda?

Huyo mwanaume anayevimba kichwa na kupost post Yeye Sina comment Juu yake, kwani kulambwa haina maana tu huyo ndiye aliyeomba na atakayepewa hutaambiwa.
 
Macho yangu yana kiza natafuta aliposema huyu mke wangu au mwanamke wangu lakini sipaoni ila naona anasema HUYU NDIE SAUDA OGA na DADA HUYU tu.
 
Kamsifia tuu, safi sana

Juzi hapa kuna mtu alisema ameajiriwa ila bosi ana mgegeda kila siku

*wako wachache sana wanawake wa namna hiyo apongezwe tuu
Huoni kama wamedhalilisha huyo jamaa "Joseph Mugire" ?

Hata hivyo uandishi wa hovyohovyo umekaa kitoto/ kijinga.
 
Kule kwetu huwa tunaambiwa mkeo akikuambia kuwa jamaa fulani anamtaka / anamtongoza basi mwanaume anatakiwa umzabe kibao ikibidi au umpe onyo Kali sana aache kukuambia mambo ya yeye kutongozwa aau kutakwa na wanaume kwani wale atakao au aliyo wakubali hata kuambia hata mara moja kwa hiyo mwanaume kwa kupewa taarifa hizo ni kama kusanifiwa tu au tuseme kukutia ujinga
Ni kweli mkuu

Mimi akiniambia hivyo namwambia mkubalie.
 
Moja ya negative effect ya Jf kwenye jukwaa la mapenzi imeshajengeka kwenye fikra zetu, hatunaimani na ndoa, hatuamini wapenzi na hatuamini wake zetu. Ni vyema mtu kujichunguza na ukiona umeshaathirika na huo ugonjwa niliotaja ni bora ujitoe kidogo kidogo au haraka kama umeshtuka
Wewe unamwamini Mkeo kwa asilimia zote?

Mwanamke wa kuaminiwa ni mama yako tu.

Check out,
 
Back
Top Bottom