Msaada wakuu. Hii browser iko poa sana, ila kuna issue inanitatiza kidogo. Kwenye ile version ya mwanzo nilikuwa naweza ku-save page kupitia: Options>Tools>Save Page. Kama kuna mtu anaejua namna ya kufanya hii kitu kwenye Opera Mini Next naomba anipe maelekezo.