Neno sahihi kwa kuwa ndio hivyo tena linatumika ni Kuboreka.. Ingawa sio Kiswahili sanifu. Hili limetoholewa toka neno la kiingereza " to be bored"
Yaani "ndugu
MziziMkavu, mwezio nimeboreka kweli"
Na yule anatekufanya uwe bored; tunatumia, "fulani, ama "
donniebrasco kaniboa sana..."
Mwenye usahihi zaidi ya huu, na atuelimishe tafadhali...