Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,092
- 4,034
Hebu ficha aibu yako! Alokwambia kuliwa na wachina hadi uwe na madini ni nani? So far wachina hapa Tanzania hawajawekeza kwenye madini, wako idara nyingine!Hatuna madini ya kuliwa na Wachina, wameitafuna nchi yenu hadi imebaki mahandaki. Huwa mnawaita eti ndugu zenu na kuwavisha kofia za vyama.
Hapo kwenu wachina wamewaibia kwenye sgr, wamewadanganya na kuwanunulia kiberenge kinachofuka moshi tiiiii,tena kwa gharama kubwa sana, ila mnawakenulia meno na kulinganisha gharama zenu na zile za boko haram wa Nigeria ili kuficha aibu!
http://www.businessdailyafrica.com/...st-effective/539548-2977014-6cb6c4/index.html
Yaani SGR wamewaibia mchana kweupe hadi wameajiri ndg zao kufagia na kuwaacha wakenya wakihangaika bila ajira