Muhimu kufurah lakiniHahahahaha nimefurahi sana Leo.
HApa unajisifu kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa au kujipaka mafuta kwa chupa ya mgongo hahahaaaaSitasahau siku nilivo baka bint mmoja hiv , ila nikashinda kesi kirahis kwl
Hahaha, hadith hiyo inatufundisha usjaribu kuniigaHApa unajisifu kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa au kujipaka mafuta kwa chupa ya mgongo hahahaaaa
Daah kweli unamachungu naona tungo tata tuuu.Sitasahau siku niliyoaibishwa mbele ya wakwe kwamba nina nini cha kuwatisha kisa nimemsomesha mwanao aje tusaidiane maisha na baada ya kupata ajira akanipiga teke,nashukuru now niko poa na nilienae.
Kweli brother msumeno ni sheria kali.Hahaha, hadith hiyo inatufundisha usjaribu kuniiga
Haya RUDI SASA..MWAYAASSitasahau..... Ooohhhh ngoja nilie ntarudi
Usikute ni wewe ndo ulitaka umlize ikawa vise oresi aaa nimekosea ni vise versa..Siku nilipomwamini mshikaji mmoja mkenya akaniliza na kuniacha nchi za watu.
Usikute ni wewe ndo ulitaka umlize ikawa vise presidaa aaa nimekosea ni vise versa..Siku nilipomwamini mshikaji mmoja mkenya akaniliza na kuniacha nchi za watu.
Hee Rubi kwani kupenda vibayaKumpenda yule Kaka tu na Mungu anisamehe!
Mambo yakujitakia mabaya sanaaaa etieeeSitasahau siku niliyombaka demu wangu kisa alivaa sare za ccm na akijua mimi Ukawa dadadeki zake alipiga kelele kama mbuzi
Kosa ambalo sitolisahau
Ni siku demu wangu aliniambia wazazi wake wamesafiri kwenda kumsalimia bibi yake anaumwa kijijini.
Nikaenda kulala kwao maana tulikua majiran na kwao wote walikua shuleni kwahiyo alibaki peke yake.
Ebwana hata sa6 usiku haikufika wazazi hawa hapa. Mgonjwa wamempeleka hospitali na shangazi yake ilibisi aje alale na demu wangu.
Nlilala uvunguni mpaka sa10 asubui,na lile barid la mbeya acheni tu alafu baada ya mwezi tu nagundua kuna fala kamtundika mimba.