Njanga Tz
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 843
- 655
Wakati furaha ikiwa inatamalaki katika mitaa ya Lumumba na wananchi wakiimba kile kibwagizo cha "Hapa Kazi tu" inabidi tutafakari ni kitu gani kipya atafanya Magufuli akiwa ndani ya ccm uku akiwa amezungukwa na watu wale wale.
Nafikiria kama kweli atakua na dhamira ya dhati ya kunyoosha mambo ambayo mengi yamekwisha pindishwa basi atarajie kuwa na maadui wengi zaidi nje na ndani ya system, Lasivyo ndani ya miaka miwili atakua amechoka na atakua kama wenzake waliopita.
Nikikumbuka hisia,shangwe na matarajio ya Watanzania ya 2005 ya kikwete kuingia madarakani hizi za Magufuli ni asilimia 30 tu ya zile shangwe.Lakini sasa kila kitu kiko worse zaidi.
Mungu atusaidi Watanzania.