Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,586
- 50,684
Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...🧚♀️🧚♀️
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..😅😅tujifurahishe tu hakuna namna🥂🥂🥂
Huo ulikuwa ni utangulizi tu 😅😅ngoja nirudi kwenye uzi sasa🤪🤪🤪
Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi🙈kuvua na kuvaa nguo🤣🤣ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda😅😅😅.
Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna😁😁
Karibuni wapendwa 🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂🥂