Ni kipi hasaaaaaa?

Nadhani Marijani Rajab alielezea vizuri sana hebu tumsikilize basi


<object style="height: 390px; width: 640px"><param name="movie" value="http://www.youtube.com/v/-NOKkLco5TM?version=3"><param name="allowFullScreen" value="true"><param name="allowScriptAccess" value="always"><embed src="http://www.youtube.com/v/-NOKkLco5TM?version=3" type="application/x-shockwave-flash" allowfullscreen="true" allowScriptAccess="always" width="640" height="390"></object>

Pamenoga
 
Kimfanyacho mwanamke kwenda kwa waganga wa kienyeji? Unakuta umekaa naye kwa muda mrefu tuu tena wachamungu ghafla anabadilika na kuanza kufanya masharti anayopewa na mganga wa kienyeji! Wakati penzi lenu zuri tu, ukimuuliza imekuaje ? hakupi jibu la msingi au ndo kichaa kimemuanza! Shetani Shindwaaaaaaaaaaaaaaa....................

Ni akili finyu tu kwa kudhani kwamba kuna penzi la ndunguli kumbe ni nyama ya ulimi tu ambayo inamfanya mwanaume wala asielewe kuhusu mdada fulani na huduma moto moto katika kila idara ya mapenzi.:whoo:Whoo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom