"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ni upungufu wa maarifa tu pamoja na ushauri usiofaa kutoka kwa either marafiki au baadhi ya ndugu.Kimfanyacho mwanamke kwenda kwa waganga wa kienyeji? Unakuta umekaa naye kwa muda mrefu tuu tena wachamungu ghafla anabadilika na kuanza kufanya masharti anayopewa na mganga wa kienyeji! Wakati penzi lenu zuri tu, ukimuuliza imekuaje ? hakupi jibu la msingi au ndo kichaa kimemuanza! Shetani Shindwaaaaaaaaaaaaaaa....................
"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ni upungufu wa maarifa tu pamoja na ushauri usiofaa kutoka kwa either marafiki au baadhi ya ndugu.
Imani hii mie inanishinda kabisa! Au wanalogwa na hawa waganga wajameni mmmh:A S angry:
kukosa maarifa ya mungu
kutojiamini
muhusika kutoonyesdha dalili za kutulia
kujishtukia kwa mawanamke thas km sifit vile kuwa naye...mmh mimi kweli namridhisha??mwsho wa siku anaenda kwa babu punje anampe dawa!!!!!!
polen bt 2b honest WANAUME MME
LISHWA VITU VINGI SANA BILA KUJIJUA NA ivi mpo macho juu leo apa leo pale(inf) basi uko koooooooote kila mmoja anajaribu kukulisha mavi ya mende mkojo wa punda maji ya mait na mengneyo meeeeeeeng km ayo....km autak kulishwa tena ayo madudu basi mrudie mungu na uache kuwa na kolon kila kona!!!!!!!!
MUNGU ANAWAPENDA
haaaaaaaaaaa wap ushachelewa!Mmmmmh kichefuchefu, hikiiiiii ni kichefuchefu, jmaaniiii kichefuchefu
Nakuwa nakula hotelini tu:hurt:
:smile-big::smile-big::smile-big:haaaaaaaaaaa wap ushachelewa!
tena wewe umelishwa mpk miguu ya funza lakin ujijui stl mnasisitiza inf iz nature.....MNAZAN NGUVU YA KUTETEA INF IS HERE TO STAY MNAIPATA WAP????hahaha polen saaana nguvu iyo mnaipata baada ya kula KASMA YAO ..hahahaha polen saaaaaaaaaaaaana jaman!!!
ata ule hotelin kuna njia nying tu za kulambishwa ile mambo....DAWA PEKEE NI KUTULIA NA WAKE ZENU la sivyo mjitayarishe kula visivyoliwa...!!!polen
haaaaaaaaaaa wap ushachelewa!

haimaanish ni wachafuAcha bana Rose ntashindwa kula leo , hii inamaana wanawake ni wachafu na wachafuzi saaanaaa basi ama?