Mimi huwa nachukua mahindi nusu bede na pumba nusu debe nasaga pamoja. Then ule unga napika ugali laini nachanganya na supu ya mifupa/ nyama ambayo huwa naweka order buchani one kg sh 1000
nami niulize ukiweka order kwa aina fulani ya mabaki ya chakula kutoka hotel kubwa ambazo kuku kubaki na vipande vikatupwa ni kawaida inaweza kuwa sio mzuri kwa ajili ya chakula cha mbwa?
Mm nina mbwa sita wakubwa madume manne ma jike mawili kila mbwa na chombo chake cha kula uwa ninawapa chakula cha aina hii kila cku nyama malapu lapu uwa nawapa mara moja moja sana na kwa cku hula mlo mmoja tu na mda wao wa kula wanaujua ni sa 12 jioni kila siku...doma na supu ya dagaa frsh sana kwa dogs.
Mpikie mbwa uji wa dagaa (tumia pumba na sio unga)
Siku nyingine huo uji unaweka nyama badala ya dagaa.
Na siku nyingine mpikie uji na uchanganye na unga wa samaki unaopatikana masokoni kwajili ya kulisha kuku.
Jitahidi umpe mbwa chakula katika aina moja tu ya chombo na mahali pamoja kuepuka uwezekano wa kuja kupewa sumu katika mazingira flan flan kama kutupiwa chakula chenye sumu.
Saga mahindi debe moja then changanya na original super dog food mfuko mmoja wa kg 5 halafu pika kama uji + nusu kilo ya malapulapu ya nyama na mifupa ambayo ni 500 tu atleast mara 4 kwa wiki, mbwa wako atakuwa na afya bora kabisa.