Ni kina nani walipaswa kumkumbusha Mh majukumu yake?

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,841
1,843
Eti kuna watu hawakuwakumbusha wakuu Fulani majukumu yao , tena yanayotajwa na sheria??

sheria ilishatungwa na kutiwa saini na Mh rais wa AWAMU YA NNE, lakini eti watekelezaji wa sheria ile hawakujua kuwa wao ndo inforcers, wala hawakujua kuwa sheria ile inawapa mamlaka Fulani.
  • Hivi nani alipaswa kumkumbusha waziri mkuu kuwa kwa mujibu wa sheria YEYE ni mwenyekiti wa balaza la kupambana na madawa ya kulevya??
  • Hivi nani alipaswa kuwakumbusha mawaziri kwamba wao ni wajumbe wa balaza hilo??
Hivi ni kweli kuwa kuna watu walipaswa kufanya hivyo,
Hivi sheria ikikupa majukumu Fulani, na ikagundulika kuwa hukuwahi kuyatekeleza hayo majukumu, wala hukujua hayo kama ni majukumu yanayotekelezwa na wadhifa wako, Je inatosha kuwaambia wananchi kuwa hukuletewa taarifa kuwa sheria inakutaka kufanya hivyo??

Napata shida kwenye hili, lawyers please ,
 
Back
Top Bottom