Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 890 Reaction score 3,091 May 13, 2024 #1 Kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
K kimbomba25 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,182 Reaction score 2,153 May 13, 2024 #2 Hii nyara umeipata wapi, mkuu?
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,712 Reaction score 50,751 May 13, 2024 #3 Nakihitaji ila nitafutie sare, kofia pamoja na viatu vyake
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,322 Reaction score 56,057 May 13, 2024 #4 Kifaa cha kuwasiliana kwenye meli, kimepitwa na wakati
Mjomba Fujo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,587 Reaction score 6,722 May 13, 2024 #5 umeteka gari ya afande. arooo sweka ndani riharifu hili.
X Xi Jinping JF-Expert Member Joined Jun 14, 2023 Posts 9,416 Reaction score 28,178 May 13, 2024 #6 Umekipata wapi?
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,569 May 13, 2024 #7 Radio call ya gari.
Notorious_Marcc JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 2,598 Reaction score 6,146 May 13, 2024 #8 Hiyo biashara tunaifanyaje ili hali wewe mwenyewe hicho kifaa hukifahamu???? 🤒 😎
Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,290 Reaction score 5,765 May 13, 2024 #9 Hiyo ni Radio call ya mawasiliano; inaweza kutumika kwenye Camp za porini (bush camp) au kwenye magari ya watalii au magari ya kijeshi/kivita. Naona kama niya kizamani sijui kama bado inafanyakazi....
Hiyo ni Radio call ya mawasiliano; inaweza kutumika kwenye Camp za porini (bush camp) au kwenye magari ya watalii au magari ya kijeshi/kivita. Naona kama niya kizamani sijui kama bado inafanyakazi....
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,819 Reaction score 113,384 May 14, 2024 #10 Hiyo ndio cable ya internet iliyozingua tangu juzi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,909 Reaction score 193,846 May 14, 2024 #11 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Satoshi Nakamoto Senior Member Joined May 28, 2017 Posts 110 Reaction score 466 May 15, 2024 #12 Eleza kwanza umekipata wapi
Trainee JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 3,115 Reaction score 4,226 May 15, 2024 #13 Hiyo ni saa haya mimi nina elfu tatu njoo pm tuyajenge
Flava90s JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 337 Reaction score 560 May 15, 2024 #14 Radio call hiyo ya kizamani kidogo.. Ukitaka kuuza chap kuna jamaa yuko Instagram anakusanya vitu vya zamani Antique anaweza kupa hela hiyo Username yake (at) ngoshoinnovate
Radio call hiyo ya kizamani kidogo.. Ukitaka kuuza chap kuna jamaa yuko Instagram anakusanya vitu vya zamani Antique anaweza kupa hela hiyo Username yake (at) ngoshoinnovate
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,370 Reaction score 2,106 May 15, 2024 #15 Umekiamkia hicho kifaa mkuu?Kinaweza kuwa na umri wa dingi yako mkubwa au mjomba yako.