Ni kama wanasema vile, Unadhani wanasema nini?

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
Last edited by a moderator:
Mamvi: nimeona figisu figisu zenu, lakin tambueni safari haijaishia hapa
Nape: usimaindi mkuu, this is fair play
 
EL; bwana mdogo umeridhika sasa baada ya kunikata?
NAPE; kausha mwanangu hata baba riz anahusika.
EL; poa bana. ndio amenikaushia kabisa sasa?
NAPE; ah nimechoka na maswali yako kama vipi potezea.
EL; Ndoroboo wewe. naenda zangu Upinzani
 
EL; Ndoroboo wewe. naenda zangu Upinzani.
 
Hahahaaa........safari ya matumaini.
 
EL; bwana mdogo umeridhika sasa baada ya kunikata?
NAPE; kausha mwanangu hata baba riz anahusika.
EL; poa bana. ndio amenikaushia kabisa sasa?
NAPE; ah nimechoka na maswali yako kama vipi potezea.
EL; Ndoroboo wewe. naenda zangu Upinzani

Hahahaaa........Lol.
 
EL; bwana mdogo umeridhika sasa baada ya kunikata?
NAPE; kausha mwanangu hata baba riz anahusika.
EL; poa bana. ndio amenikaushia kabisa sasa?
NAPE; ah nimechoka na maswali yako kama vipi potezea.
EL; Ndoroboo wewe. naenda zangu Upinzani.

Hahaaaa aisee kuna raia mnavituko sana.
 
Mamvi- dogo sikuwezi...Umenimwaga?
Nape-...ha ha tusameheane lkn kiukweli huna sifa
Kikwete...swaiba wangu lkn piga chini fasta
Mkapa...Kataaa..
 
EL; bwana mdogo umeridhika sasa baada ya kunikata?
NAPE; kausha mwanangu hata baba riz anahusika.
EL; poa bana. ndio amenikaushia kabisa sasa?
NAPE; ah nimechoka na maswali yako kama vipi potezea.
EL; Ndoroboo wewe. naenda zangu Upinzani.

Daah nalikumbuka lile pilau tulilokula pale sheikh amri abeid arusha siku ya kutangaza nia ya kugombea
 
EL: Ndo mambo gani sasa haya Nape?
NAPE: Yapi Mheshimiwa?
EL: Unajifanya hujui? Isitoshe umekula hela zangu.
NAPE: Kausha Edo, tutayamalza baadae saiv nataka nifanye press conference na wanahabari.
EL: Wewe ila .....
NAPE: Unanitisha tena kaka?
 
Last edited by a moderator:
huyu babu wa nyuma amekaa kidaku sijui anasikiliza nin hapoo.. na fake smile yakee
 
Hahaaaa aisee kuna raia mnavituko sana.

Yaaani, humu ndani kuna watu wana maneno jamani mi nikitaka kufurahi tu huwa naingia JF ni lazma nicheke kwa kweli, VIVA JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…