Ni jambo lipi ushawahi kufanyiwa na demu wako na mpaka leo hutaweza kulisahau?

Nilikutana na mdada chizi mapenzi..
Tulianzisha mahusiano kimasiara tuu..

Siku najaribu kutaka kupiga chini kilichonitokea sitakuja kusahau.

Hakukuwa na kosa wala sababu ya kumpiga chini ila basi ni ile nilimchoka!

Narudia yule mwanamke sitakuja kumsahau kummamake!

Siku hiyo nishamvuruga na kumkatia mawasiliano.akanitumia sms askari wanakufata kazini kwako siondoke!
Nikamjibu kwa nyodo ITA HATA JESHI SIOGOPI!!

kweli wakuda wakatimba na mando lao nikawekwa nyuma ya bodi km mtuhumiwa...

Aibu mastaff wenzangu wananicheki huku wanaulizana bila majibu kwamba nna soo gani!

Kufika ukudani nikaitwa kwa mkuu wa kituo! demu anasema kwamba ananidai elf50 namzungusha..

Mkuu wa kituo anatufahamu huwa anatukuta viwanja!akamuuliza wee huyu si jamaa ako huwa mkiwa baa mnasindikizana hd choon!

Ebu ondokeni hapa mkamalizane huko!ikishindikana kbs ndio mje.

Baada ya hapo nikampa elf50 kwa maandishi amesaini nikampa bonge la shiiit..

Piga block hadi namba zote hadi marehemu wa kwao..

Siku hiyo kanilia mingo kwenye kichochoro narudi homu.
Alinibananisha maana alikuwa kibonge flani hivi!
Aliikunja shati na suruali kwa pamoja huku ananibamiza ukutani!
Ananiuliza unanipenda hunipendi??!!
Mi najibu nakupenda BBY kuliko yoyote!
Hapo ameshaniivisha shati imechanika nnipo kifua wazi..
Nikamuomba aniachie kidogo tuu nikojoe!
Alipoachia suruali nifunguka spidi laki na hamsini hadi home!!
Nakadanganya vibaka walinikaba maana sio kwa kuivishwa kule na makofi
 
Hajatembea huyo, ila akijichanganya na walimwengu atakutana nao tu hata asijali ataprove! Mimi mwenyewe nlkua nadhani stories tu za watu ila nshajionea na mengine yalinitokea kabisa, wanawake wa kiha ni hatari hata wa Mbeya na Rukwa ni balaa.
Una jua mkuu kila mtu anapo taka kuingia kwenye mahusiano kuna vitu tuna viangalia Kwa mpenzi, ubinafsi, Uongo, Tamaa, uhaminifu, kama mwanaume mjanja mjanja lazima utamjua tu mwanamke uliyenae ni mwanamke wa aina gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikutana na mdada chizi mapenzi..
Tulianzisha mahusiano kimasiara tuu..

Siku najaribu kutaka kupiga chini kilichonitokea sitakuja kusahau.

Hakukuwa na kosa wala sababu ya kumpiga chini ila basi ni ile nilimchoka!

Narudia yule mwanamke sitakuja kumsahau kummamake!

Siku hiyo nishamvuruga na kumkatia mawasiliano.akanitumia sms askari wanakufata kazini kwako siondoke!
Nikamjibu kwa nyodo ITA HATA JESHI SIOGOPI!!

kweli wakuda wakatimba na mando lao nikawekwa nyuma ya bodi km mtuhumiwa...

Aibu mastaff wenzangu wananicheki huku wanaulizana bila majibu kwamba nna soo gani!

Kufika ukudani nikaitwa kwa mkuu wa kituo! demu anasema kwamba ananidai elf50 namzungusha..

Mkuu wa kituo anatufahamu huwa anatukuta viwanja!akamuuliza wee huyu si jamaa ako huwa mkiwa baa mnasindikizana hd choon!

Ebu ondokeni hapa mkamalizane huko!ikishindikana kbs ndio mje.

Baada ya hapo nikampa elf50 kwa maandishi amesaini nikampa bonge la shiiit..

Piga block hadi namba zote hadi marehemu wa kwao..

Siku hiyo kanilia mingo kwenye kichochoro narudi homu.
Alinibananisha maana alikuwa kibonge flani hivi!
Aliikunja shati na suruali kwa pamoja huku ananibamiza ukutani!
Ananiuliza unanipenda hunipendi??!!
Mi najibu nakupenda BBY kuliko yoyote!
Hapo ameshaniivisha shati imechanika nnipo kifua wazi..
Nikamuomba aniachie kidogo tuu nikojoe!
Alipoachia suruali nifunguka spidi laki na hamsini hadi home!!
Nakadanganya vibaka walinikaba maana sio kwa kuivishwa kule na makofi
hii story mmmh..
 
Muangaliage, wengine wanakuwa wanawake maumbile tu ila ni midume. Yani nimecheka nikivuta picha kidume umekwidwa na demu. Akili yangu inaniambia una kamwili kadogo kadogo😂😂😂😂😂😂😂
 
Nilikutana na mdada chizi mapenzi..
Tulianzisha mahusiano kimasiara tuu..

Siku najaribu kutaka kupiga chini kilichonitokea sitakuja kusahau.

Hakukuwa na kosa wala sababu ya kumpiga chini ila basi ni ile nilimchoka!

Narudia yule mwanamke sitakuja kumsahau kummamake!

Siku hiyo nishamvuruga na kumkatia mawasiliano.akanitumia sms askari wanakufata kazini kwako siondoke!
Nikamjibu kwa nyodo ITA HATA JESHI SIOGOPI!!

kweli wakuda wakatimba na mando lao nikawekwa nyuma ya bodi km mtuhumiwa...

Aibu mastaff wenzangu wananicheki huku wanaulizana bila majibu kwamba nna soo gani!

Kufika ukudani nikaitwa kwa mkuu wa kituo! demu anasema kwamba ananidai elf50 namzungusha..

Mkuu wa kituo anatufahamu huwa anatukuta viwanja!akamuuliza wee huyu si jamaa ako huwa mkiwa baa mnasindikizana hd choon!

Ebu ondokeni hapa mkamalizane huko!ikishindikana kbs ndio mje.

Baada ya hapo nikampa elf50 kwa maandishi amesaini nikampa bonge la shiiit..

Piga block hadi namba zote hadi marehemu wa kwao..

Siku hiyo kanilia mingo kwenye kichochoro narudi homu.
Alinibananisha maana alikuwa kibonge flani hivi!
Aliikunja shati na suruali kwa pamoja huku ananibamiza ukutani!
Ananiuliza unanipenda hunipendi??!!
Mi najibu nakupenda BBY kuliko yoyote!
Hapo ameshaniivisha shati imechanika nnipo kifua wazi..
Nikamuomba aniachie kidogo tuu nikojoe!
Alipoachia suruali nifunguka spidi laki na hamsini hadi home!!
Nakadanganya vibaka walinikaba maana sio kwa kuivishwa kule na makofi
Hahaha!

Dah, huyo manzi alikua ni kisanga aisee
 
Niliwahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kamemaliza 4 kakaenda chuo mkoa flan huko kanda ya ziwa

Kamefika huko kakapata dingi hivi kakaanza kuniletea sintofahamu siku moja rafiki yake akaniambia kuwa mpenzi wako ana bwana mtu mzima

Niliumia sana basi nikawa kila nikimtafuta muda ambao yupo na yule bwana hapokei simu niliumia sana basi nikaanza kuutoa moyo wangu kwake taratibu

Mara yule rafiki yake akajaa penzi likachipua mambo yakawa motomoto siku moja nikaenda kwa lengo nishuhudie kama ni kweli anabwana

Basi kwa msaada wa yule mpenzi mpya nikawa napewa full info muda gani analetwa na yule bwana nikajibanza sehemu mara ghafra hawa hapa

Ile anashuka mimi huyu 😄sitaki kuikumbuka ile siku ilikua kama picha la kihindi ...

Cut story siku hiyo nikaenda kujilia penzi jipya na yeye akakesha ananitafuta na siku hiyo alijua nimelala na shost yake

Sitaki kujua kama aliumia au lah
 
😳😳😳😳
Kuna demu nilimtoa humu JF nikamficha kama nina mke na mtoto, tukaenda Mariedo kule Posta kufanya shoping ya nguo za harusi, akanunua gauni lake milioni moja, hapo hata pete sijamvisha, alidai anafanya maandalizi mapema, nikaogopa nikamwambia twende sehemu tupate japo juice ndio kumueleza ukweli sijawahi kuona mdada analia kama amepigwa mshale, niliona siku hiyo. Am sorry baby I didn't mean to hurt you
 
Nakumbuka mwaka 2017 nilidate na mdada mmoja wa kipare, huyu mdada alinivutia kwa rangi yake na vile alivyokuwa ananijali maana alikuwa anajifanya ananijali sana hadi akanitambulisha kwa ndugu zake.

Kwa vile na mimi nilikuwa na stress zangu huko nyuma nikajikuta nadata juu yake, miezi mitatu mbele nikajua kuwa ni mjamzito na alinambia kuwa ni wangu basi na mimi wala sikuwa na papara nikawa nahudumia kadri vile alivyokuwa anahitaji huduma zangu
balaa likaanza pale alipojifungua maana alijifungua juni 20, 2017 na mimi nilitembea nae january 2017 nakumbuka ilikuwa siku ya fainali ya mapinduzi cup, nikajua kabisa hapa kuwa NIMEPIGWA MTOTO SI WANGU basi kwa kuniridhisha akampa yule mtoto jina la mama yangu na hadi zile card za kliniki zina majina yangu.

Huaga namkumbuka sana huyu mdada na muda mwingine huwa nauliza maendeleo ya mtoto na nasikia sasa hivi mtoto yupo MWANGA kwa mama wa huyo mdada.

SHIKAMOONI WANAWAKE wa aina hii
Atakuwa na kadi mbili za clinic wengine huwa had na kadi tatu kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom