ikersmn Member Joined Mar 21, 2014 Posts 18 Reaction score 16 Oct 6, 2014 #1 Wana jf nashukuru sana kwa mawazo, ushauri, sala, majadiliano mbalimbali kuhusu ajira, nisipo shukuru nitakuwa mchoyo wa fadhila, kwa sasa nimepata kitengo, naomba muuendelee na moyo huo huo wa kusaidiana.
Wana jf nashukuru sana kwa mawazo, ushauri, sala, majadiliano mbalimbali kuhusu ajira, nisipo shukuru nitakuwa mchoyo wa fadhila, kwa sasa nimepata kitengo, naomba muuendelee na moyo huo huo wa kusaidiana.
keynessian JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 591 Reaction score 422 Oct 6, 2014 #2 Hongera sana! Mshukuru Mungu ,Fanya kazi kwa bidii
Franky JF-Expert Member Joined Apr 27, 2012 Posts 2,272 Reaction score 2,858 Oct 6, 2014 #3 Safi sana sasa na wewe saidia wenzako.
Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Oct 6, 2014 #4 Hongera mkuu, endelea kumtegemea Mungu na zaidi piga kazi kwa bidii na kwa uaminifu.