Ni Jairo pekee? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Jairo pekee?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by watundawangu, Jan 13, 2012.

 1. w

  watundawangu JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, ambaye Kamati Teule ya Bunge ilimkuta na makosa katika kuchangisha fedha zinazodaiwa kutumika kuhonga wabunge ili kupitisha bajeti ya wizara hiyo mwaka jana, uchunguzi dhidi yake umekamilishwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na jadala la mashitaka limeandaliwa. Vipi kuhusu wale wafanyakazi wa wizara yake walioshiriki kumshangilia na kumbeba baada ya kurudishwa kazini na fisadi Luhanjo? Je nao hawana hatia?
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu hicho Tanzania
   
Loading...