Habari JF,
Nina mdogo wangu alimaliza kidato cha sita akapata division 3.17 akakataa kwenda diploma akidai kuwa atajiendeleza hapo badaye.
Lakini anataka zile kozi fupi fupi kama miezi 6, mitatu. Je, ni kozi gani ambayo anagalau mtu unaweza kusoma na kujiendeleza kimaisha?
Ushauri tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Designer wa urembo? Nyumba? Electronics?
BlessedDesigner wa urembo? Nyumba? Electronics?
Mimi nakushauri mwambie akasome diploma. Huo ndio ushauri wangu.
Tungekua tupo ulaya au usa huko hapo sawa... Ila kwa sababu tupo nchi ya viwonder... Mwambie aache utoto!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawa mafanikio mema