Ni ipi Masters nzuri kati ya Public Administration na GID?

Kyeyombekeile

Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
14
Reaction score
17
Ndugu wana Jukwaa la Elimu,

Yupo jamaa yangu ni mtumishi wa serikali upande wa utawala na ana BAED (Geography and Political Science and Public Administration) wiki moja nyuma alikuja kuomba ushauri juu ya ipi masters nzuri ya kusoma Kati ya public administration na GIS nikamshauri kwa kuwa Yuko upande wa utawala asome public administration ili kuongeza ujuzi japo yeye alikuwa anapendekeza GIS eti kisa kuna wataalamu wachache hivyo anaweza pata kazi nyingine ya juu zaidi, lengo lake ni kuongeza elimu ili apate pesa.

Kazi yake ni mtendaji wa kata nami nimeona nilete hapa kwa wajuzi wa mambo ili kupata A B C zaidi.

Karibu
 
Ukiongeza Elimu haupat pesa unakuwa mtumwa wa Elimu n kazi ushauri wang Kama anataka aongeze pesa afikirie biashara au mradi awekeze gharama anayotumia kusoma ni mtaji tosha hata akiwa hayupo familia itajivunia mirad aliyo iacha kwa vizazi n vizazi ila ukisoma ukiwa n master au PhD utakufa n kuzikwa na vyeti vyako ambavyo havin msaada ten
 
Ndugu wana Jukwaa la Elimu,

Yupo jamaa yangu ni mtumishi wa serikali upande wa utawala na ana BAED (Geography and Political Science and Public Administration) wiki moja nyuma alikuja kuomba ushauri juu ya ipi masters nzuri ya kusoma Kati ya public administration na GIS nikamshauri kwa kuwa Yuko upande wa utawala asome public administration ili kuongeza ujuzi japo yeye alikuwa anapendekeza GIS eti kisa kuna wataalamu wachache hivyo anaweza pata kazi nyingine ya juu zaidi, lengo lake ni kuongeza elimu ili apate pesa.

Kazi yake ni mtendaji wa kata nami nimeona nilete hapa kwa wajuzi wa mambo ili kupata A B C zaidi.

Karibu
Mwambie akasome GIS.
 
Ipo Chuo kikuu cha DarEsSalaam(UDSM) na matawi yake.
Sio kweli. Huyu jamaa amesoma BAED Ila amejikita katika Geography na akawa anaopt baadhi ya kozi za Political Science.

Lakini UDSM hakuna hiyo kozi ya BAED ( Geography, political science and Public Administration)

Degree yake itaendelea tu kuitwa Bachelor of Arts in Education.
 
Hata yeye ameandika BAED(Geography and Political Science and Public Administration).
Na ipo kweli UDSM na matawi yake.
Hio Political Science and Public Administration anakuwa Mwalimu wa Civics ili kukamilisha masomo mawili ya kufundisha.
Sio kweli. Huyu jamaa amesoma BAED Ila amejikita katika Geography na akawa anaopt baadhi ya kozi za Political Science.

Lakini UDSM hakuna hiyo kozi ya BAED ( Geography, political science and Public Administration)

Degree yake itaendelea tu kuitwa Bachelor of Arts in Education.
 
Kwa BAED aliechagua kuwa Mwalimu wa Geography na Civics hio sio Option ni Core.
Sio kweli. Huyu jamaa amesoma BAED Ila amejikita katika Geography na akawa anaopt baadhi ya kozi za Political Science.

Lakini UDSM hakuna hiyo kozi ya BAED ( Geography, political science and Public Administration)

Degree yake itaendelea tu kuitwa Bachelor of Arts in Education.
 
Mimi nadhani haina haja ya kujua Kama kozi hiyo ipo au haipo kikubwa ni kusaidia kile anahitaji ahsante Wana jukwaa
 
Mkuu vip jamaa alishanza kusoma?
Na alichukua ipi kati ya hizo
 
Back
Top Bottom