jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,247
- 1,635
Habari,
EAC ilianza miaka na kuvunjika 1978, kwa kutokea kwa vita ya tanzania n Uganda. Miaka 40 baadaye EAC imekua dhaifu na iliyovurugwa kuliko jumuiya nyingine yoyote. Kifupi haina muelekeo ; wala mpango wa kuileta pamoja. Imeenda mbali na nje kabisa ya mategemeo na malengo
Nini yalikua malengo ya jumuiya hii
- Common market/Soko la pamoja-Hapa ndipo maigizo yanapoanzia Mwaka 2020 kenya ilipiga marufuku bidhaa za chakula kama mahindi kutoka tanzania na uganda....tupo bado kwene common market? Sidhan. Hili na visa vingi vilivyotokea tz na kenya,
Kenya na uganda!! Pasikuusahau mgogoro wa kisiwa wa uganda na kenya ktk ziwa victoria.
- Common language/Lugha ya pamoja- swahili ni lugha ya pili kenya kuongelewa na idadi kubwa ya wakenya
Ikiwa n lugha ya kwanza tanzania ,ikiongelewa kama lugha ya taifa
- One nation/nchi moja EAF STATE hii ni kazi kuliko hata ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
YALIYOJIRI
Kenya imekua ikijitahid kuikandamiza Tanzania ikihofia itachukuliwa nafasi yake ya sasa As Tanzania the East africa economic giant
Rwanda imekua ikifanya spying wa majiran zake.
Burundi imekua inashindwwa hata kutoa ada.
S.Sudan haielewi hata kinachoendelea.
Unadhan tulikosea wap?? Au tutoe nchi gan?
East africa ya nchi tatu ilikua strong na powerful kuliko ya sasa
zitto junior Mshana Jr Allan Clement abackuk abagabo Abawali Baba Farheen Hit Man 47 hiltonh247 Netanyauu KAGAMEE kenyanah TANZANIA PATRIOT South Sudan Uganda Patriot

- Wakat uganda ni portion ndogo sana ikiongelewa
- Rwanda na Burundi??
- South Sudan? Hatujui kama wa hata idea of what going on
- Common currency/fedha moja hapa ndyo kizungumkuti hamna progress hata ya 1% towards common currency !! Swali je n kweli kwamba hizi nchi ziko huru au n shinikizo kutoka magharibi