Ni hoteli gani inafaa kwa mapumziko Morogoro mjini?

Ni hoteli gani inafaa kwa mapumziko Morogoro mjini?

Kig

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
1,079
Reaction score
468
Habari zenu wadau.
Tafadhali naomba kujua ni hoteli gani nzuri morogoro mjini hasa huduma, usalama na bei nafuu ya vyumba?
Natafuta hotel ambayo naweza kupata chumba kwa bei isiyozidi sh. 30,000 kwa siku.
 
we ukifika angalia angalia tu mandhari utaipata... au tafuta dereva taxi akupeleke anapoona ni pazuri
 
Unataka hotel au hizi lodge ndugu yangu,, hotel kbs kwa sh 30000 mweeeeehh
 
Go kingsway hotel its nice one....located near by msamvu bus terminal
...iringa road
 
Nenda NASHERA HOTEL ni nzuri sana ipo Boma road kama unaelekea kwa mkuu wa mkoa.
 
Elfu 30 hiyo ni bei ya guest house na sio hotel. Nenda pale Oasis Hotel ila ongeza salio lako.
 
Tafuta kuna Hotel inaitwa KAHUMBA, tena hapo na blanket mtu au nyama unapata unaenjoi

nataka sehemu tulivu na yenye usalama. kama kuna machangu basi panakosa sifa na vigezo kwa sababu kuibiwa kupo nje nje
 
Kwa 30 ni lodge! Hotel Moro kuanzia 50 kwenda juu! Arc ni nzuri Ila bei yake uongeze mara mbili na nusu ya pesa yako!
 
Habari zenu wadau.
Tafadhali naomba kujua ni hoteli gani nzuri morogoro mjini hasa huduma, usalama na bei nafuu ya vyumba?
Natafuta hotel ambayo naweza kupata chumba kwa bei isiyozidi sh. 30,000 kwa siku.

Hiyo hotel au lodge?
 
Unataka hotel au hizi lodge ndugu yangu,, hotel kbs kwa sh 30000 mweeeeehh

labda huko morogoro, lakini dar hiyo hela unalala tena hotel nzuri tu
 
Acha ubahili nenda kibo iko kabla hujafika msamvu kale kagorofa kanatazamana na oilcom. Bei zake ni cheap, 40 ground floor na 50 juu. You will enjoy kama uko nashera hivi. Dare me
 
Weekend usikose kukaribia hapa mikumi katika hotel mpya ya kisasa iitwayo vamos ili uje uburudike IMG_6859.JPG IMG_6859.JPG
 
Nimegundua hotel nyingi za morogoro hazina website. Ni ngumu sana kupata hata picha tu
 
Back
Top Bottom