Haujaelewa, hoja sio namna ya kuunganisha hizo nyaya, sipendi kuona miwaya inakatiza katiza vinginevyo awepo mtaalam wa kuziweka vizuri ukutani. Kumbuka home theater zina spika takriban tano na inabidi uziweke mbali mbali kwa mpagilio maalum kupata sauti bora.
Sound bar haina hayo mambo. Wireless tu.