boss tafuta sony DAV-Z650 google utaiona picha zake hautaijutia pesa yako, ukitaka used nicheki.
boss tafuta sony DAV-Z650 google utaiona picha zake hautaijutia pesa yako, ukitaka used nicheki.
Nipe 500k tu bossInaendaje Used boss
Sent from my iPhone using JamiiForums
hatari sana hakusumbui mtu yoyote na kiredio chakeHuu mziki ni shida sana
K vant
Mtambo huo hapo Sony home theater 500W tuongee beiNaomba ushauri kwa wanajamvi wazoefu kwenye vifaa vya muziki
Nahitaji home theatre music system. Je, ni aina gani nzuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa disko limeingia mmasai π€£ π π
du!! Wachawi nikajua wanaishi USWAHILINI kumbe adi kwenye majukwaa ya jf.
Nomaa jamaangu ,yaani wachawi kila kona.du!! Wachawi nikajua wanaishi USWAHILINI kumbe adi kwenye majukwaa ya jf.
kwa staili hiyo hatutoki MaishaππππππNomaa jamaangu ,yaani wachawi kila kona.
Naomba ushauri kwa wanajamvi wazoefu kwenye vifaa vya muziki
Nahitaji home theatre music system. Je, ni aina gani nzuri?
Sent using Jamii Forums mobile app