Ni heri ya Lowassa!

Mtajinyonga mwaka huu kuanzia lini shetani akawa Malaika Lowassa huyu unayemnadi si ndiyo alikuwa mtuhumiwa wenu namba moja kama fisadi aliyekubuhu bingwa wa madili na makundi Mungu atuepushe na jitu linaloitwa Lowassa maana atauza mpaka mbuga zetu kama uwaziri mkuu tu Ulimshinda urais angeuweza wapi? Lowassa hatakuja na haitatokea akawa rais wa nchi hii labda aende somalia Tuachine Magufuli wetu
 
Watanzania tunamhitaji Lowassa kuliko anavyotuhitaji yeye.
Lowassa ndiye hasa kiongozi aliyetufaa,hakukuwa na wala hakuna mbadala wa Lowassa kwa yale tunayoyapitia sasa.

Namshukuru Mungu sasa ukweli umedhihiri.
Sasa sio muishie kulialia,2020 tuungane tufanye kweli.
Na zikifanyika figisu kama za 2015 (everybody knows) tuingie barabarani.

[HASHTAG]#TanzaniaNiYetuSote[/HASHTAG]
[HASHTAG]#SayNoToDictatorship2020[/HASHTAG]
 
Dah..hivi Hitler alikuwa mzuri au mbaya??
 
Chadema wao wanashangilia tu.

Maana ndio kazi inayowapeleka huko ulaya kuichafua nchi kwa gharama yoyote.
 
Mmm ghafla mnataka Lowassa? Yule mliosema hafai,na hana chembe ya kuwa raisi?Wacha tuoje joto ya jiwe.
 
Unamlilia Edward Lowassa!, Kweli Watanzania ni wepesi kusahau.
Mara hii mshasahau kero zilizo shamiri sana za awamu zilizopita kama Rushwa, Ufisadi, Wizi, Ajira za upendeleo, Matumizi mabaya ya fedha za serikari, Uzembe wa watumishi wa uma, Uwepo wa viongozi dhaifu wanao shindwa kufanya maamuzi magumu, Kukosekana kwa uzalendo, Kila mtu kujidai afisa wa ikulu au usalama wa taifa.
Raisi Magufuli anaweza kuwa na mapangufu lakini si hadi kumkumbuka mtu kama Edward Lowassa
Pia naiomba serikari impatie basi dhamana Maxcence Mello
 
Tumuombee dua lowassa awe na afya njema bwana yule atajua kilichomtoa kanga manyoya
 
Tuvute subira mpaka 2020
 
Yani ukiachana na tuhuma za ufisadi lakini jinsi Lowassa alivyokuwa anaelezewa akiwa ccm ni tofauti na anavyoelezwa sasa alivyohamia chadema.

Dah! Siasa hizi zinawatia watu upumbavu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…