Ni hatua gani ku-renew kitambulisho cha NIDA?

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Mwaka 2017 nikiwa Mkoani Tabora niliibiwa Bag na majambazi wakidhania kulikua na hela mle ndani. Ndani ya lile bag kulikuamo na vitu vingine pamoja na kitambulisho cha NIDA.

Nilienda kurupoti Police wakanipa RB na mpaka Leo sijawahi kukipata tena. Ifahamike kua kitambulisho hiki ni muhimu sana kwa huduma nyingi.

Mkoa niliojisajili kupata NIDA nimehama kule.Je nafanyeje ili kupata kitambulisho kipya?Namba za NIDA ninazo.
 
Nilirenew cha Bima ya afya aisee kuna usumbufu sijawahi ona.Nililipia 20,000 ila gharama za kufuatilia mkoani zilizidi.
Ilifikia mpaka ile ofisi walinizoea kama mfanyakazi wa mle.Tunza sana kadi yako ya Bima,
 
Bima ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom