Utoto fulani hivi!amelamba loan yake kwa salary haamini kama ameshika kiasi kama hicho tena cha kwake!!baada mwz zitaisha maana ataagiza rav 4 short ile ndio mwisho wake hapo!ataishia laki 5 tu!labda apate mibabu,ifanye ile shughuli yao kabang atapata tena.....kama hvy!ndio maisha ma dada zetu mijini siku hizi