KumbeAlikuwa anamtafutia sababu na keshaipata. Dawa ni kuachana nae
Hata mie imenitokea,dawa ni kuachana kwan apo hackiii wala haambiw,,akubal maumiv asonge mbele.Hajaumaliza ujana bado, uking'ang'ana nae utatombewa live live
SAWA KABISA Heri kuvunja uchumba kuliko ndoaKuna rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kwa miaka 2 siku 1 rafiki yangu alipata wasiwasi baada ya kuona sms za mpenz wake akichat na mtu mwengine ikabidi amuulize mpenzi wake.Alippmuuliza mpenz akakasirika kuwa kwanini haaminiwi wakachuniana baada siku chache rafiki yangu alimfata ili waongee ila akamchunia. Kwavile alishamtolea barua ikabidi aende kwa mama yake mkubwa, mama yake alimwita huyo binti na rafiki yangu wakaongea ila alichoamua yule binti ni kusitisha uhusiano sasa ni sawa au ni hasira tu za binti
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo binti huwa naongeaga nae alichodai ni kwamba rafiki yangu hamuamini mpenz wake anamchunguza sana kitu ambacho binti hapendiNahisi kuna mengi hadi kafikia uamuzi huo
Madame S
Bado nawaza kitu ujuemapenzi ni kiza kinene
nimeshakijua hahahahahahBado nawaza kitu ujue
Huyo ndugu ana mushkeli na hicho anachokifanya ni kujihami na huyo ni mshenzi kabisa keshapata kajamaa kakumzuzua na ndio sababu anakimbilia kusitisha mahusiano. Mwambie jamaa asing'ang'anie. Anyoshe mikono juu maishe yesonge mbele kwa mbele.Kuna rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kwa miaka 2 siku 1 rafiki yangu alipata wasiwasi baada ya kuona sms za mpenz wake akichat na mtu mwengine ikabidi amuulize mpenzi wake.Alippmuuliza mpenz akakasirika kuwa kwanini haaminiwi wakachuniana baada siku chache rafiki yangu alimfata ili waongee ila akamchunia. Kwavile alishamtolea barua ikabidi aende kwa mama yake mkubwa, mama yake alimwita huyo binti na rafiki yangu wakaongea ila alichoamua yule binti ni kusitisha uhusiano sasa ni sawa au ni hasira tu za binti
Sent using Jamii Forums mobile app