Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,780
ka?
Mkuu usiwe unatoa makavu dizaini hiyo, dah?
Ndiyo kusema Mheshimiwa anajipenda mwenyewe kwa mwenyewe ?
ka?
Mkuu usiwe unatoa makavu dizaini hiyo, dah?
Ndiyo kusema Mheshimiwa anajipenda mwenyewe kwa mwenyewe ?
Sio lazma kujianzishia thredi jama, mnafanya thredi za maana ziende page ya tatu au ya nne bila sababu ya msingi.
Tafuteni njia nyingine ya kupata umaarufu na sio huu utoko.
Unaleta usanii kwenye jumba la sanaa!?? hapa ndio kaole chuo cha sanaa.
Queen V vipi matokeo ya kidato cha nne lakini?
Heshima yako inashuka.
watu kwa kudondoka jf sikuizi..lol!afu eti mtu anadondoka kwa id mpya