ni haki yangu kuweka wazi hisia zangu kwa yule nmpendae

achana na mtoto wa totoz kama anakuzingua. njoo kwangu nikukune kisawasawa.
 
Sio lazma kujianzishia thredi jama, mnafanya thredi za maana ziende page ya tatu au ya nne bila sababu ya msingi.

Tafuteni njia nyingine ya kupata umaarufu na sio huu utoko.

ukikosa cha kuandika kaa kimya kama wenzio. sio lazima uongee uchafu wako hapa.
 
Mzee wa mia kabisa kitu kimpm, akiiachie? kwa jinsi alivyo kwa viumbe wa jinsia yako! alienda zenji akawa mdogo kama piritoni!
Fuatilia thread zake afanyi mchezo na totoz!.. au figganigga mwingine nn?
 
ukitaka figganigga akuzimikie basi wewe kuwa spammer tu, kuna binti mmoja alikuwa anaitwa dorisnelson basi figganigga alimzimia kichizi eti kisa ni spammer!
 
Back
Top Bottom