Ni haki kumtendea hili mwenza wako?

Ni haki kumtendea hili mwenza wako?

hajurangoo

Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Mdogo wangu wa kiume ana mchumba wake anayetaraji kumuoa na ni mtumishi usiku mmoja majira ya saa 3-4 akiwa nae alimuonyesha kitendo ambacho hakikumfurahisha mdogo wangu, dem wake aliamka kitandani na kuchukua cm kupiga kwa mwanaume wanaefanya nae kazi kuwa amemkumbuka na ampigie kumpa salam tu ( hi! ) eti mbona hawajaonana yuko wapi na mtu huyo ana familia yake "mke na watoto" baada ya kukatazwa kuwa si vema kufanya hivyo kwa muda huo mchumba huyo sasa hapakaliki na mdogo wangu ananiomba ushauri je wanajf nimshauri nini?
 
mpigeni kwa ushirikiano kipigo cha mbwa mwizi maana umeshindwa kusema so ni lako unamsingizia dogo.
 
Waachane lakini kwa kumwambia wazi tabia yake ya kumpigia simu mume wa mtu tena usiku ndiyo chanzo
 
Kama ni kweli...ni aibu na fedheha sana...ampige chini tu
 
Kama ni kweli...ni aibu na fedheha sana...ampige chini tu

jinsi ya kumpiga chini. muombe penzi kwa alivyo kicheche atapandisha malinda tu halafu mtonye mdogo wako akufumanieni. tena umpige kile cha kusimama na kupandisha mguu bila kuvua vyupi. vicheche vinapenda sana hii style maana ni fasta na haina garama za gesti
 
Kuwa wazi,huyo ni mchumba wake au mke wake?
Maana nnavyojua wachumba hawalali kitanda kimoja, huyo mwanamke ana mimba tu, amvumilie akizaa mambo yatarudi kwa msitari.
 
wanajf nawashukuru kwa ushauri na maoni kwa sasa kuna maelewano mazuri baina ya hao wapendwa
 
Back
Top Bottom