Kodi ni jambo la msingi, na sioni tatizo la mashine za risiti za EFD
Ila naona haki kubwa walionayo wafanya biashara kugomea hizi mashine.
Juzi tu hapa tulisikia wote mshahara wa Rais mkubwa kiasi kile lakn haukatwi kodi, Yan kiongozi aoneshi uongozi katika jambo la pekee kama hili.
Tuliskia vilevile kwa waziri mkuu mishahara minono lkn isiyotambuliwa na EFD.