Kodi ni jambo la msingi, na sioni tatizo la mashine za risiti za EFD
Ila naona haki kubwa walionayo wafanya biashara kugomea hizi mashine.
Juzi tu hapa tulisikia wote mshahara wa Rais mkubwa kiasi kile lakn haukatwi kodi, Yan kiongozi aoneshi uongozi katika jambo la pekee kama hili.
Tuliskia vilevile kwa waziri mkuu mishahara minono lkn isiyotambuliwa na EFD
Hii ni baadhi ya mifano, wapo wengi wakubwa serikarilin na makampun na taasisi zao hawalipi kodi stahiki, wanahisi wafanya biashara hawajui haya, bila shaka wanajua
NDIO MAANA WANAGOMA
hawaoni haja ya kulipa kodi wao wakati wakubwa hawalipi kodi
Makampuni ya simu yanakadiliwa kodi, hakuna mashine inayohakiki mapato yao.
Yapo mengi yakueleza ila lazma tujue mfumo wa utozaji kodi lazima uwe wenye usawa na haki, SI KWA KINDI FLANI TU, BALI NI MUDA TUAMBIWE HATA RAIS PAMOJA NA MAILION YOTE ANAYOPOKEA ANAKATWA KODI.
NA MAENEO YOTE MAKUU, KODI INALIPWA KWA UTHABITI HAPA MIGOMO KAMA HII YA WAFANYA BIASHARA ITAKWISHA, VINGINEVYO. Kazeni uzi nchi haina mwenyewe hii
Mtazamo wangu.
mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,TRA wana agenda za siri na hizo mashine.Kwa nini wasifanye utafiti wa kina kuhusu hizo mashine na kujua sababu za msingi za wafanyabiashara kugomea.
Kama rais wa nchi halipi kodi kwa nini wengine walipe?
Aliyetakiwa kuwa wa kwanza kugoma ni MFANYAKAZI WA KIMA CHA CHINI!
hao wakamatwe wafutiwe leseni tu. mimi kama mfanyakazi wa serikali nakatwa karibia laki na nusu kila mwezi kwenye mshahara wangu kama kodi, halafu mfanyabiashara wa kariakoo hataki kulipa kodi? uliwasikia wale wengine wanasema hawataki kutumia mashine, sio kwamba tu wanataka kupunguziwa bei, hawazitaki mashine.
hao wakamatwe wafutiwe leseni tu. mimi kama mfanyakazi wa serikali nakatwa karibia laki na nusu kila mwezi kwenye mshahara wangu kama kodi, halafu mfanyabiashara wa kariakoo hataki kulipa kodi? uliwasikia wale wengine wanasema hawataki kutumia mashine, sio kwamba tu wanataka kupunguziwa bei, hawazitaki mashine.
hapa siongeleo mafao mzee, kwenye mshahara mfanyakazi unakatwa asilimia 10 inapelekwa huko kwenye mafao, nyingine unakatwa mshahara kubwa kuliko hata hiyo asilimia 10, hivyo kila mwezi mshahara wako unakatwa si chini ya asilimia 20%. unaelewa lakini? au wewe kama mfanyakazi unakatweje mwezetu, hukatwi kodi kumbe?Process ikiwa reasonable and fair hata ukitumia mabavu ku implement wananchi tuta support ila hii ina mapungufu mengi sana ndio maana watu wanachachamaa!!!!!
Kuna mtu analalamikia kukatwa sehemu ya mshahara ili ije imfae uzeeni???!!!!!
TRA wafanye yale yanayitarajiwa bila kuleta kelele zisizo na manufaa
Process ikiwa reasonable and fair hata ukitumia mabavu ku implement wananchi tuta support ila hii ina mapungufu mengi sana ndio maana watu wanachachamaa!!!!!
Kuna mtu analalamikia kukatwa sehemu ya mshahara ili ije imfae uzeeni???!!!!!
TRA wafanye yale yanayitarajiwa bila kuleta kelele zisizo na manufaa
jamaa yako hapo anafikiri ile kodi unayokatwa kwenye mshahara utakuja kuipokea ukistaafu....hajajua kama ndio inayoenda kutumika kuendesha nchi. wananchi wengi kumbe hawana uelewa wa ulipaji kodi hapa tz.Mashine si tatizo, maana kodi ni muhimu, ila suala linakuja hapa huwez kumuhimiza mtoto asivute Bangi wakati baba anakula bangi, serikali ina watu hawalipi kodi, wafanya biashara hawa wanafahamu, wanafahamu pia kulivo huko bandalini na kodi za vifaa vya watu wanaoitwa wazito
Hari itatoka wapi? Kusikia kutatoka wapi wakat najua baba pia mvuta bangi.
Serikali ikaze uzi juu kwanza, wafanyakaz kodi zao hukatwa kwa uaminifu, iwe pia kwa watu ka rais, na wengineo, la sivyo...
MGOMO NI HAKI YAO, INGAWA KODI NI HAKI YA TAIFA
We usipofukuza nzi kwenye kidonda chako na.wezio wakiumia wasifukuze!!!!!????
Hebu amka muda wa kudeki huu utalowana
mkuu ni vyema sasa pia ni muda muafaka kwa wasanii wa bongo movie na bongo flava nao kuanza kulipa kodi kila mara wanapofanya kazi zao ziwe jukwaani au hata nje ya jukwaa.hii itasaidia kukuza kipato cha nchi na kuondokana na kuwa omba omba kila mara.