Mlafu
Member
- Sep 17, 2015
- 63
- 54
Ndugu zangu naamini humu ndani kuna watu wenye ujuzi tofautitofauti.
Leo katika mishe zangu nimesikia kua kuna dawa ya kuweza kumtibu mtu aloathirika na punyeto ya muda mrefu nakusababisha nguvu kupungua je ni kweli hiyo dawa ipo.
Kama inaitwaje na dozi yake inakuaje?