Chocolate25
Member
- Feb 1, 2021
- 13
- 19
Dr. Shafiq, alikuwaga Agakhan Dar. Kwa sasa sijui alipoHabari wana JF. Nipo hapa kuuliza kama kuna mtu yeyote anafaham daktar mzuri wa wanawake hapa Tz au Dar es salaam...
mkuu kuna doctor ni specialist amesomea CUBA pia yupo pale mhumbili, njoo PM nikupe mawasiliano yake..Habari wana JF.
Nipo hapa kuuliza kama kuna mtu yeyote anafaham daktar mzuri wa wanawake hapa Tanzania au Dar es salaam...
Habari wana JF.

Nishamtanguliza ndo maana natafta gyno piaWapo ila nakushauri mtangulize Mwenyezi Mungu mbele kwanza halafu afuatie gaino mzuri.