Ni Gynaecologist bora kwa Tanzania

Ni Gynaecologist bora kwa Tanzania

Chocolate25

Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
13
Reaction score
19
Habari wana JF.

Nipo hapa kuuliza kama kuna mtu yeyote anafaham daktar mzuri wa wanawake hapa Tanzania au Dar es salaam...
 
Pale Ilala Bungoni kuna hospitali inaitwa SMV ni ya kinamama tu. Ile hospital ni ya wamama wa kiislam ila wanapokea dini zote. Kuna ma gyno wengi sana wenye uzoefu bora na madaktari bingwa wote wamama kwa hiyo watajua tatizo vyema zaidi. Fika hapo. .
 
Wapo ila nakushauri mtangulize Mwenyezi Mungu mbele kwanza halafu afuatie gaino mzuri.
 
Back
Top Bottom