ni Furaha kumwona Jerry Muro ITV

ni Furaha kumwona Jerry Muro ITV

oluku

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
350
Reaction score
71
wadau leo katika maonyesho ya saba saba jerry alikuwa akitangaza. binafsi nimefurah kwani tena sana kwani wabaya wake wote watanyamaza.
 
Mkuu mbona umeiandika kimbe mbea sana sana hujaeleweka
 
Yaani amerudi kutangaza tena ItV au alikuwa kama MC
 
Maelezo hayajitoshelezi,kahamia itv au bado yupo tbccm?
 
wadau leo katika maonyesho ya saba saba jerry alikuwa akitangaza. binafsi nimefurah kwani tena sana kwani wabaya wake wote watanyamaza.
...siku za nyuma mulitwambie amepata kazi CNN ! imekuwaje amezukia tmk sabasaba, au ndiyo dayworks.
 
Kwahiyo chaajabu ni nini. Eleza ueleweke. Mbona kama unakimbizwa?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wewe una mahaba na jerri murro eeh, ukimuona tu kiroho kwatu 😛ainkiller:
 
Back
Top Bottom