The Only Kilo JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 352 Reaction score 87 Jan 16, 2013 #1 Nimeharibikiwa na external hard disk aina ya seagate! Naomba kama unajua walipo mafundi unijulishe mara hii tafadhali. Mimi nipo dar.
Nimeharibikiwa na external hard disk aina ya seagate! Naomba kama unajua walipo mafundi unijulishe mara hii tafadhali. Mimi nipo dar.
M Muntu Member Joined Dec 22, 2011 Posts 32 Reaction score 5 Jan 16, 2013 #2 Eleza chanzo cha tatizo, ni vyema ukapeleka kwenye jukwaa la gadgets
Clajago Member Joined Oct 25, 2011 Posts 87 Reaction score 10 Jan 16, 2013 #3 Pole sana kuna fundi moja mzuri sana kwenye gadgets mcheck yupo safi anapiga kazi 24/7 mcheck kwa 0766507080 atakupiga taugh shida yako.
Pole sana kuna fundi moja mzuri sana kwenye gadgets mcheck yupo safi anapiga kazi 24/7 mcheck kwa 0766507080 atakupiga taugh shida yako.
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,379 Reaction score 13,196 Jan 16, 2013 #4 Nenda Amani Place Kuna mafundi wa data recovery clouds walikuwa wanawatangaza sana last year
manjoge Member Joined Dec 8, 2012 Posts 18 Reaction score 10 Jan 16, 2013 #5 Jamani me pia min-laptop yangu SONY imekufa mazabody nimehangaika sana mafundi wameshndwa n wamenambia no way ishakufa msaada pls. Niliangusha
Jamani me pia min-laptop yangu SONY imekufa mazabody nimehangaika sana mafundi wameshndwa n wamenambia no way ishakufa msaada pls. Niliangusha
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Jan 16, 2013 #6 manjoge said: Jamani me pia min-laptop yangu SONY imekufa mazabody nimehangaika sana mafundi wameshndwa n wamenambia no way ishakufa msaada pls. Niliangusha Click to expand... jichange ununue nyingne tu!
manjoge said: Jamani me pia min-laptop yangu SONY imekufa mazabody nimehangaika sana mafundi wameshndwa n wamenambia no way ishakufa msaada pls. Niliangusha Click to expand... jichange ununue nyingne tu!
The Only Kilo JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 352 Reaction score 87 Jan 16, 2013 Thread starter #7 Wakuu shukrani sana ndo maana halisi ya jamii forum hiii! Live long jf especially mmu
M mfocbsjut JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 479 Reaction score 259 Jan 18, 2013 #8 manjoge said: Jamani me pia min-laptop yangu SONY imekufa mazabody nimehangaika sana mafundi wameshndwa n wamenambia no way ishakufa msaada pls. Niliangusha Click to expand... wapelekee orange tech pale posta, wanaweza kukusaidia
manjoge said: Jamani me pia min-laptop yangu SONY imekufa mazabody nimehangaika sana mafundi wameshndwa n wamenambia no way ishakufa msaada pls. Niliangusha Click to expand... wapelekee orange tech pale posta, wanaweza kukusaidia