Ni enzi ya Pre-paid

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Zamani maisha yalikuwa rahisi na raha mno, unatumia kwanza malipo baadae, simu, umeme, majina posta ada za shule nk ni mifano halisi
Imeingia digital imeharibu kila kitu, Siku hz ni mwendo wa pre-paid lipa kwanza, simu umeme maji ving'amuzi na huduma nyingine nyingi ni pre-paid, post-paid ni kama haipo tena
Hata kwenye mabar na vilabu vyetu hasa uswazi kuna mabango makuubwa LIPA KWANZA au PESA MBELE, hata vyoo vya city hali ni hiyo hiyo, maisha yamebadilika mno

Ila kwenye post-paid wamebaki ndugu zangu watani wangu Wachaga na maduka yao (almaarufu kwa mangi) uswahilini kwetu, malipo mwisho wa mwenzi, lakini nao wakiachana na huu mfumo post-paid tutaumbuka wengi..!
 
tofauti ipo na Ndio imeingia sasa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…