Haa ha ha kama futuhi hivi!Ni kesho pale ACT na zitto watakapokuwa mwembe yaka live kupitia Channel Ten na Dr Slaa atakuwa Live ITV kutoka ubungo plaza akiteta na wazee wa Dar es salaam
Siasa za 'mke mwenza' hizi ni aibu tupu
Siasa za 'mke mwenza' hizi ni aibu tupu
Haa ha ha kama futuhi hivi!
Hivi kwani Chadema tayari wameishaitoa ilani?maana mara ya mwisho alisema hakuna ilani ya kuwaambia wananchi au ni Zitto ndio kawafanya nao waruke hewani wakati huohuo?utoto!

relevance ya zitto ni kujitag na chadema kwi kwi kweli msaliti ni msaliti hana platform ya kuheshimika na ameshuka kisiasa lazima wasaliti wenziwe waje kujinadi kwa kupitia magwiji wa siasa Tanzania arudishe burungutu la watu alilopata pitia kimei la mtesa sanaHaa ha ha kama futuhi hivi!
Hivi kwani Chadema tayari wameishaitoa ilani?maana mara ya mwisho alisema hakuna ilani ya kuwaambia wananchi au ni Zitto ndio kawafanya nao waruke hewani wakati huohuo?utoto!
Ni utoto - na sijui utalinganishaje kikao vha ndani na kikao cha hadhara hata kama ulitaka kulinganisha. Wao wanafikiri ni mkakati!Siasa za 'mke mwenza' hizi ni aibu tupu
Aiseee sasa umenifungua macho maana huu mkutano umekuja from no where dah!!!NASHUKURU SANA
CHANNEL TEN; BIG UP..................................................................
NYIE NI WAZALENDO WA KWELI; HII NDO CHANNEL TEN YA KINA KIBONDE , NYANGASA N,K
ACT - NDO HABARI YA DAR
CHADEMA PELEKA SHMABA ARUSHA NA KILIMANJARO;
WANATAKA KUOKOA FISADI SABODO NA ACC YAKE YA USWISS NA MBOWE .
MASIKIO YOTE MWEMBEYANGA
Watu wa tume ya mawasiliano kesho baada ya mikutano hii mtuletee mrejesho hapa ni Telivisheni gani imeangaliwa na watu wengi zaidi.
Nasi kama wananchi tutatafakari kwa kina
Ni kesho pale ACT na zitto watakapokuwa mwembe yanga live kupitia Channel Ten na Dr Slaa atakuwa Live ITV kutoka ubungo plaza akiteta na wazee wa Dar es salaam
Ni utoto - na sijui utalinganishaje kikao vha ndani na kikao cha hadhara hata kama ulitaka kulinganisha. Wao wanafikiri ni mkakati!