Ni deo gani huyu?????????????

Du sasa huyu mtimbichi kaleta taharifa alafu katuambia hatakai maswali du anaonekana anamjua mshkaji kwa karibu
Huyo demu si ndio anaitwa siwema,marehem Ngewa alikuwa anapiga hapo then ney akachukua mzigo....hakajatulia hako kabinti longtyn kanapiga picha mby fb huko
 

Deogratius -k.u.m.a--- LIJA....hvi hli jina kweli
 
Ndio maana jamaa kwenye interview nyingi huwa anaponda watu wazima kuchukua mademu zao lakini ndivyo tena mwosha huoshwa pia maana hata yeye kuna mtu alimnyang'anya sema hana jina ndio maana haikusikika
 
Mwenye izo picha tupia humu tumjue huyo jamaa walahi tunahamu
 
vip unashida naye??? ukimpata nijulishe na mimi
 
Demu malaya yule balaa! Kahongwa verosa na huyo kigogo nae kamhonga Boya Ney!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…